Unaweza kucheza zaidi ya mara moja au mara nyingi uwezavyo kadri unavyoweza hakikisha tu unatumia pesa ya ziada.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba za huduma kwa wateja 0659071071. Ahsante.
Kiwango cha kucheza Patapata ni shilingi 300/-.
Siri ya kushinda ni kuchagua namba ya boxi kwa umakini.
Tunaomba radhi kwa kuchelewa kwa malipo yako, kulikua na tatizo la kifundi Tunalifanyia kazi na pesa yako utaipokea ndani ya masaa 24.
Ushindi haujalishi mkoa au eneo ulilopo, kwani ushindi unapatikana kwa kuchagua box na kwa upande wa Jackpot kila mtu ana nafasi ya kushinda haijalishi anatokea mkoa gani
droo ni za papo kwa hapo, Jackpot za kila siku na Jackpot za kila mwezi
Jinsi ya kushiriki katika Mchezo wa Pata Pata, Utaingia kwenye menu ya malipo ya Tigopesa kisha Utachagua Namba 4 Kulipia Bili, Chagua namba 7 Michezo, Kisha chagua namba 1 Pata Pata, Utachagua namba 1 kisha chagua box unalolitaka kuanzia 1 – 6 na kisha utamaliza kwa kuweka kiasi cha shilingi 300. Kama ukifanikiwa kushinda pesa yako ya ushindi itawekwa kwenye akaunti yako ya Patapata na utaweza kuitoa na kuipeleka kwenye akaunti yako ya Tigopesa.
Kila tiketi moja inakupa nafasi moja ya kuingia kwenye JACKPOT watu waliobahatika kuchaguliwa na mfumo wa kompyuta kati ya wote waliocheza kwa siku nzima kwa (Jackpot za kila siku) au mwezi mzima (kwa jackpot za mwezi) watapigiwa simu na kupewa muongozo wa jinsi gani ya kucheza droo hiyo ambapo watashindania milioni 1 kwa Jackpot za kila siku na milioni 10 kwa Jackpot za mwezi
Ushindi ni bahati na inaweza kuwa wakati wowote, Cheza mara nyingi kadri uwezavyo ili ushinde papo hapo na uingie kwenye Jackpot za siku na mwezi.
Hapana utawekewa kiasi cha shilingi milioni 1 kwenye simu na kiasi kilichobaki kitawekwa kwa njia ya bank.
Ndio ni moja ya vigezo vyetu na ili kuhakikisha washindi wetu wanajulikana na watu wote na kujenga uaminifu baina ya Patapata na wachezaji wake.