Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.
Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.
Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.
Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.
Iwapo wewe ni mbunifu wa mtandaoni, mjasiriamali wa kidijitali, mfanyabiashara wa kielectroniki au ungependa tu kutumia huduma za kifedha kwa njia ya simu ya mkononi kurahisisha usimamizi wa malipo kwenye biashara yako, API za Tigo Pesa zinapatikana kwa ajili yako. Pakua nyaraka ya muongozo unaokufaa, fuata maelekezo yalioelezwa, jaribisha na mara utakapokuwa tayari wasiliana na timu yetu ya Tigo Pesa kupitia mfs.corporate@tigo.co.tz ili kupata msaada zaidi.
Hii API hutumika katika huduma za ukusanyaji kwa biashara. zinazopendelea kupokea malipo ya bidhaa au huduma kutoka kwa wateja kwa kutumia Tigo Pesa
Hii API hutumika katika huduma ya utoaji Tigo Pesa kwenda kwa wafanyakazi, wapokeaji wa mchango ama mikopo au aina yoyote ya malipo kwa idadi kubwa ya watu watumiao Tigo Pesa
Hii API hupachikwa katika zana za simu au zana za kimtandao ili kuwezesha malipo kwa Tigo Pesa, hii huruhusu njia salama ya malipo ya bidhaa au huduma kwa kupitia Tigo Pesa
This weeks specials
Get more, pay less
Transfer money easily
Daily data deals
Up to 3 years on-site warranty
available for your peace of mind.
With big discounts, free delivery
and a dedicated support specialist.
Up to 70% off new Products, you can
be sure of the best price.
Kuwas wakwanza kusikia kuhusu bidhaa na huduma zetu
Legal Notice
Copyright © 2023 Axian
Privacy Policy