Customer care

Lorem ipsum dolor sit amet consectetur. Lorem ipsum dolor sit
amet consectetur.

Chat

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Call

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Email

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

FAQs

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Follow us

Join our social community

Tigo Pesa Jihudumie

Tigo Pesa imezindua huduma ya kipekee ya ‘Jihudumie’ inayokuwezesha kuzuia miamala iliyokosewa ya kutuma pesa Tigo kwenda Tigo Ni rahisi sana na sasa hauhitaji kuwa na wasiwasi tena kuhusu kupoteza pesa zako.

Jinsi ya kufuatilia malipo ya luku yaliyokosewa:

Jinsi ya kurudisha muamala ulitumwa kimakosa:

Utapokea ujumbe mfupi unaokufahamisha muamala umezuiwa na pesa yako iko salama. Pesa uliokosea kutuma itarudi kwenye akaunti yako pindi mpokeaji atakapo ruhusu

Jinsi ya kuthibitisha muamala uliotumwa kimakosa:

Utapokea ujumbe mfupi kukufahamisha kwamba muamala umefanikiwa
Angalizo: Tigo inashauri kuwa makini unapofanya muhamala ili kuondoa usumbufu na upotezaji wa pesa. Tigo itatuma ujumbe mfupi kwa mpokeaji na mtumaji wa pesa kuhabarisha kuwa muhamala umekosewa na pesa zitarudishwa kwa mtumaji. Kama mpokeaji wa pesa anawasiwasi na kurudishwa kwa pesa, anashauriwa kupiga 100 na maelezo na muhamala husika ili kupata msaada Ikiwa muhamala umekosewa, unashauriwa kupiga 100 mapema iwezekanavyo kupata msaada kutoka kwa watoa huduma kwa wateja wetu, Tigo haitahusika ikitokea muhamala uliokosewa utatumiwa na mpokeaji.

Muda wa mrejesho kwa muhamala uliokosewa:

Angalizo: Masaa yaliyo orodheshwa hapo juu ni muda wa mihamala ya kawaida. Kwa mazingira yasiyo ya kawaida muda unaweza kuongezeka kutokana na muhamala husika.
Kwa msaada zaidi

Maswali ya mara kwa mara

Fill in your details to request
for the API documentation

Shop devices

This weeks specials

Friends + Family deals

Get more, pay less

Tigo Pesa

Transfer money easily

Daily Deals

Daily data deals

TESTIMONIALS WILL GOES HERE

Product Support

Up to 3 years on-site warranty
available for your peace of mind.

Personal Account

With big discounts, free delivery
and a dedicated support specialist.

Amazing Savings

Up to 70% off new Products, you can
be sure of the best price.

FAQs

Huduma hii inamuwezesha mteja kuzuia muamala aliotuma kimakosa kwenda namba nyingine ya Tigo Pesa au Kwenda namba ya mtandao mwingine.
Wateja wote wa Tigo Pesa
Kumbuka:
Mawakala wa Tigo Pesa na makampuni ya kibiashara hawawezi kutumia Huduma hii
Hii ni Huduma inayomuwezesha mteja wa Tigo Pesa kupata tena token zake za umeme pale ambapo aidha hakupata meseji ya token aliponunua umeme au kama alifuta meseji kwa bahati mbaya.
Ndani ya masaa 12 tangu mteja ametuma pesa kimakosa
Hapana, gharama ya Huduma hii ni Tshs 50
Ndio, Huduma hii inapatikana kote kwenye menyu na aplikesheni ya Tigo Pesa
Ndio, Huduma hii inapatikana kote kwenye menyu na aplikesheni ya Tigo Pesa

Vigezo na masharti

  1. Namba ya simu ya mteja lazima iwe imesajiliwa kwenye Tigo Pesa
  2. Akaunti ya Tigo Pesa ya mteja ni lazima iwe inatumia Huduma za Tigo Pesa
  3. Mteja ni lazima awe mtumaji au mpokeaji wa muamala uliokosewa ili aweze kutumia Huduma ya kujihudumia kurudisha muamala
  4. Muamala ni lazima upitie hatua mbili, ya kuanzisha kurudisha muamala na kisha kukubali kurudisha muamala ili pesa iweze kurudi kwa mtumaji.

Find a Tigo Shop

Type in your region to find a Shop

Sorry !

We are currently not selling online. You can
visit our stores