Customer care

Lorem ipsum dolor sit amet consectetur. Lorem ipsum dolor sit
amet consectetur.

Chat

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Call

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Email

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

FAQs

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Follow us

Join our social community

Tigo Pesa Mastercard

Tigo Pesa and MasterCard has partnered and bring to a virtual card product named as Tigo Pesa MasterCard. All Tigo Pesa active customers will be able to access this product upon their consent via Tigo Pesa menu or Tigo Pesa App. Tigo Pesa Mastercard is a virtual card directly linked to your Tigo Pesa wallet; with Tigo Pesa Mastercard facilitate and enable customers to make payments, purchases, and bill payments to global online platform or merchants where Mastercard payments are accepted. Tigo Pesa Customers can create two types of Tigo Pesa Mastercard, One-Time and Validity Card. One-time Cards – This allows customers to create a one-time usage card. Once this card is created it can only be used one-time only and/or within 7 days from the creation date before it expires. The purpose of this card is to allow main user to create the card that she/he can gift any friend/family to enable them to perform one online payment using that card. One-time card is created with the amount limit of which intended user cannot make purchase above the amount set. Validity Card – This is the main Mastercard for the Tigo Pesa user, User can create card depending on the available time period provided by Tigo Pesa systems during creation. Customer can use that card for the period set during creation and once it expires customer can opt to renew the card or create another card instantly. Time period validity card allow Tigo Pesa customers to enjoy all the benefits of MasterCard virtual card for a longer duration. All customers who use Tigo Pesa will be able to access this service through the Tigo Pesa menu (*150*01#) or the Tigo Pesa App. Tigo Pesa Mastercard enable a new, simple, and secure digital payment solution for Tigo Pesa customers with or without a bank account to make global online payments.

Muongozo wa utumiaji kupitia Menyu ya Tigo Pesa (*150*01#)

Kutengeneza Kadi ya matumizi ya mara moja

Kutengeneza Kadi ya siku 90

Kuona Taarifa za Tigo Pesa Mastercard

Kuona miamala yako ya Tigo Pesa Mastercard

Kuwezesha au kusitisha Tigo Pesa Mastercard

Kufuta Tigo Pesa Mastercard

Muongozo wa utumiaji kupitia Tigo Pesa App

Kutengeneza Kadi ya matumizi ya mara moja

Kutengeneza Kadi ya siku 90

Kuona Taarifa za Tigo Pesa Mastercard

Kuona miamala yako ya Tigo Pesa Mastercard

Kuwezesha au kusitisha Tigo Pesa Mastercard

Kufuta Tigo Pesa Mastercard

Maswali ya mara kwa mara

Tigo Pesa MasterCard ni kadi ya kidijitali ambayo imeunganishwa moja kwa moja na akaunti yako ya Tigo Pesa kukuwezesha kufanya manunuzi na malipo ya mtandaoni kwa wafanyabiashara ambao wanakubali malipo ya Mastercard. Tigo Pesa MasterCard ina namba 16 za kadi, tarehe ya mwisho wa matumizi, na namba 3 za CVV.
CVV (Thamani ya Uthibitishaji wa Kadi): Ni namba 3 ambazo zinapatikana nyuma ya kadi yako. . Namba hizi ni moja ya kipengele cha usalama dhidi ya utapeli na ulaghai. Namba hii ni muhimu kwa ajili ya kukamilisha miamala ya mtandaoni.
Taarifa za kadi yako ni siri, na hauruhusiwi kumpatia mtu mwingine yoyote taarifa za kadi yako..
Tigo Pesa MasterCard ni kadi ya kidijitali inayotumika kufanya manunuzi mtandaoni. Kadi zingine za plastiki ni kadi ambazo zinaonekana na kushikika na zinaweza kutumika kwenye ATM na sehemu za mauzo.
Unaweza kutengeneza Tigo Pesa MasterCard kwa kupitia Tigo Pesa Menyu na Tigo Pesa App. Kwenye menyu ya Tigo Pesa: Piga *150*01#, chagua huduma za kifedha (7), chagua Tigo Pesa Kadi (7), Chagua Tigo Pesa MasterCard (1) kisha fata maelekezo.. Kwenye Tigo Pesa App: Fungua Tigo Pesa App, Chagua huduma za kifedha, Chagua Tigo Pesa Kadi, Chagua Tigo Pesa MasterCard kisha fata maelekezo.
Unaweza kutumia Tigo Pesa MasterCard kufanya manunuzi ya mtandaoni, katika tovuti zote za biashara ya mtandaoni ambapo MasterCard inakubaliwa.
Unaweza kutengeneza kadi mbili tu kwa wakati mmoja. Kadi ya matumizi ya mara moja, na kadi ya siku 90..
Tigo Pesa MasterCard ya matumizi ya mara moja ni kadi unayoweza kutumia ndani ya siku saba (7) na unaweza kuweka ukomo wa kiasi cha matumizi.
Tigo Pesa MasterCard ya siku 90 ni kadi unayoweza kutumia ndani ya siku 90 na haina kikomo cha kiasi cha matumizi..
Hapana, kwasasa unaweza kutengeneza kadi ambayo ina uhalali wa siku 90 tu.
Ndiyo, unaweza kuwezesha au kusitisha matumizi ya kadi yako. Kwenye menyu ya Tigo Pesa: Piga *150*01#, chagua huduma za kifedha (7), Chagua Tigo Pesa Kadi (7), Chagua Tigo Pesa MasterCard (1), chagua Mipangilio ya Kadi (4), chagua Wezesha/Sitisha kadi (2) kisha fata maelekezo. Kwenye Tigo Pesa App: Fungua Tigo Pesa App, Chagua huduma za kifedha, Chagua Tigo Pesa Kadi, Chagua Tigo Pesa MasterCard, Chagua Kadi, Chagua Wezesha/Sitisha kadi kisha fata.
Kusitisha kadi yako inasaidia kuzuia manunuzi ya mitandaoni yasiyo ya hiari..
Kuwezesha kadi yako inasaidia kufanya manunuzi ya mitandaoni pale unapokuwa na uhitaji..
Ndiyo, unaweza kuona miamala yote ambayo umefanya kwa kutumia Tigo Pesa MasterCard. Kwenye menyu ya Tigo Pesa: Piga *150*01#, chagua huduma za kifedha (7), chagua Tigo Pesa Kadi (7), Chagua Tigo Pesa MasterCard (1), Chagua Angalia Miamala (3) kisha fata maelekezo. Kwenye Tigo Pesa App: Fungua Tigo Pesa App, Chagua huduma za kifedha, Chagua Tigo Pesa Kadi, Chagua Tigo Pesa MasterCard, kisha fata maelekezo.
Accordion C Ndiyo, unaweza kufuta kadi yako ya Tigo Pesa MasterCard muda wowote. Kwenye menyu ya Tigo Pesa: Piga *150*01#, chagua huduma za kifedha (7), Chagua Tigo Pesa Kadi (7), Chagua Tigo Pesa MasterCard (1), chagua Mipangilio ya Kadi (4), Chagua Futa Kadi (3) kisha fata maelekezo. Kwenye Tigo Pesa App: Fungua Tigo Pesa App, Chagua huduma za kifedha, Chagua Tigo Pesa Kadi, Chagua Tigo Pesa MasterCard, Chagua Kadi, Chagua Futa Kadi kisha fata. .
Hautatozwa gharama zozote kwa kutengeneza kadi kwaajili ya malipo ya mtandaoni; ila kuna malipo ya forex asilimia 5 wakati wa manunuzi.
Hautaweza kutumia Tigo Pesa MasterCard pale ambapo hauna salio la kutosha kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa. Kutumia Tigo Pesa MasterCard hakikisha una salio la kutosha kulingana na bei ya manunuzi unayohitaji kufanya.
Hapana, Tigo Pesa MasterCard haiifadhi fedha. Kadi hii imeunganishwa moja kwa moja na akaunti yako ya Tigo Pesa kukuwezesha kufanya manunuzi na malipo mtandaoni.
Pale ambapo umekatwa fedha zaidi ya kiwango sahihi, mfanyabiashara anapaswa kukurejeshea kiwango kilichozidi. Endapo hukurejeshewa fedha yako unapaswa kuwasiliana na mfanyabiashara moja kwa moja kupitia namba zao za simu au barua pepe iliyopo kwenye tovuti yao.
Pale ambapo inahitajika kurudishiwa fedha yako, tafadhali wasiliana moja kwa moja na mfanyabiashara husika aliepokea malipo..
Tafadhali, Piga 100 kuwasiliana na Huduma Kwa Wateja au tembelea duka la Tigo lililo karibu nawe kwa msaada zaidi.

Sorry !

We are currently not selling online. You can
visit our stores