Customer care

Lorem ipsum dolor sit amet consectetur. Lorem ipsum dolor sit
amet consectetur.

Chat

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Call

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Email

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

FAQs

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Follow us

Join our social community

KUTOA PESA KWENYE ATM

Tigo Pesa inaendelea kurahisisha Maisha ya kidigitali kwa wateja wanaotumia Tigo Pesa kwa kuwawezesha kutoa fedha zao kwenye ATM zaidi ya 350 za Umoja Pamoja na ATM za benki ya TCB

Kupitia simu yako- Tigo Pesa

Kwa Upande wa ATM- benki

Kumbuka:

  1. Nenosiri la mara moja (OTP) hudumu kwa dakika tano (5) pekee. Inashauriwa kuanza huduma ya kutoa pesa ukiwa karibu na ATM..
  2. Ada za kawaida za kutoa pesa zitatumika.
  3. Kiasi cha chini cha kutoa pesa kwa njia ya ATM ni TSh 10,000.
  4. Kiasi cha juu cha kutoa pesa kwa njia ya ATM ni TSh 400,000.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara:

Ada za kutoa pesa kwa ATM ni sawa kabisa na kutoa pesa kutoka kwa Wakala.
Tariffs and charges applicable when Tigo Pesa ATM Cash Out Services
From (TZS) To (TZS) Tigo S/C Govt Levy Customer ATM Charges
10,000 14,999 1,450 102 1,552
15,000 19,999 1,450 195 1,645
20,000 29,999 1,850 672 2,522
30,000 39,999 1,850 770 2,620
40,000 49,999 2,350 1,050 3,400
50,000 99,999 2,700 1,435 4,135
100,000 199,999 3,650 1,771 5,421
200,000 299,999 5,300 2,058 7,358
300,000 399,999 6,500 2,450 8,950
400,000 400,000 7,000 2,879 9,879
Neno siri la mara moja litaisha muda wake na fedha zako zitarejeshwa kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa pamoja na malipo ya huduma.
Huhitaji kujisajili kutumia huduma hii. Huduma ya kutoa pesa ATM inapatikana kwa watumiaji wote wa Tigo Pesa.
Hapana, unachohitaji ni kuwa na namba yako iliyosajiliwa na Huduma za Tigo Pesa pamoja na salio la kutosha kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa.
Ndiyo, Taarifa zako za Tigo Pesa zinalindwa vyema unapotumia huduma za kutoa pesa kwa ATM kwa mujibu wa miongozo ya huduma ya Tigo Pesa.
Nenosiri lenye tarakimu 6 la mara moja linaweza kutumika kwa shughuli moja pekee. Kila wakati unapotaka kutoa pesa, utapokea nenosiri jipya. Huna haja ya kukumbuka nambari hii mara tu inapotumiwa.
Neno siri la mara moja au namba ya siri ya Tigo Pesa hazipaswi kutolewa kwa mtu mwingine yoyote kwa sababu za usalama wa akaunti yako ya Tigo Pesa.

Sorry !

We are currently not selling online. You can
visit our stores