Customer care

Lorem ipsum dolor sit amet consectetur. Lorem ipsum dolor sit
amet consectetur.

Chat

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Call

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Email

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

FAQs

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Follow us

Join our social community

Bima Mkononi - Bima Binafsi kwa Wateja wa Tigo Pesa

Wateja

Bima ya Kulazwa

Bima ya Maisha na ulemavu

Ukijiunga, furahia gharama moja pekee tu kwa watu wote walio kati ya umri wa miaka 18 – 69. Kujiunga inachukua dakika chache tu na unaweza kulipa kwa kupitia Tigo Pesa au kwa kulipa pesa taslimu kwenye kituo chochote cha Tigo huduma kwa wateja.

Jinsi ya kujiunga

Unaweza kujiunga na huduma ya bima unayohitaji kwa kupiga *148*15# na ufuate maelekezo. Tupigie simu bure huduma kwa wateja 0659 071 001 au tembelea maduka yetu ya Tigo kwa maelezo zaidi, msaada na madai ya fidia.

Aina za Bima na Gharama

1- BIMA MKONONI YA KULAZWA NA KUVUNJIKA – Milvik Bima Ya Kulazwa Fidia hadi Tsh 12,900,000 Bima Mkononi ya Kulazwa inalipa fidia endapo mnufaika wa Bima amelazwa, amevunjika mfupa, msaada wa malipo ya gharama za dawa na gharama za vipimo vya afya vya mwaka
PriceTotal minsAll networkOn networkSMSValidity
TZS 5,00030030005030 days
TZS 10,0001200120005030 days
TZS 20,0003000300005030 days
TZS 30,000330033007005030 days

Individual Life Cover: An individual
Joint Life Cover: An individual and an insured relative
Family Cover: Family nucleus – an individual, a spouse, their children
Family Plus Cover: Extended family – an individual, a spouse, their children, their parents and parents-in-law
Medication support starts after first 3 months of premium payment

Vigezo na Masharti

Commencement date & Waiting Periods

Umri

Idadi ya watu wanaopata ulinzi wa Bima

  • Bima ya mtu mmoja: Mteja wa Bima pekee
  • Bima ya watu wawili: Mteja wa Bima na mume/mke wa mteja
  • Bima ya Familia – Mteja, mwenza wake na watoto
  • Bima ya Familia Kubwa (+) – Mteja wa Bima mwenza wake, watoto wao, wazazi wao na wakwe (baba na mama)
  • Hakuna kikomo cha idadi ya watoto wanaoruhusiwa kuunganiswa katika huduma ya familia.

Madai

  • Muda wa kufanya madai kwa mteja anapewa miezi mitatu (3) awe ametoa taarifa baada ya kupata tukio la madai yoyote. Alafu mteja atapewa muda wa miezi mitatu tena aweze kuwasilisha nyaraka zote zinazohitajika. Endapo mteja atashindwa kuwasilisha nyaraka zote zinazohitajika madai yake yatafungwa. Malipo yatafanyika endapo mteja atawasilisha nyaraka zifuatazo:
  • Vitambulisho vinavyokubalika wakati wa kufanya madai ni: kitambulisho cha mpiga kura, Kitambulisho cha taifa, Leseni ya udereva, Hati ya kusafiria, cheti cha kuzaliwa mtoto au cheti halali cha uthibitisho wa malezi ya mtoto
  • Nyaraka za uthibitisho wa kulazwa
  • Cheti cha ruhusa ya kutoka hospitali
  • Ripoti kamili ya matibabu (Kwa mteja ambaye amelazwa zaidi ya siku
  • Risiti/stakabadhi za kielektroniki au mchanganuo wa malipo ya mteja aliyelazwa
  • Nyaraka za uthibitisho wa kuvunjika
  • Ripoti/taarifa ya Daktari
  • Ripoti kamili ya matibabu
  • Risiti za kielektroniki au mchanganuo wa malipo ya mgonjwa aliyelazwa

Yasiyohusika

  • Fidia haitolipwa endapo hali iliyopelekea madai hayo imesababishwa na matatizo ya kukusudia au tukio lolote kati ya matukio haya yaliyoorodheshwa:
  • Vita, Uvamizi, Vitendo vya maadui wa kigeni, uhamasa, operation za vita (zilizotangazwa au zisizotangazwa), Vita vya wenyewe kwa wenyewe, Uasi, Migomo, ghasia, ghasia za wenyewe kwa wenyewe, Kuongezeka kwa jeshi, Njama, Mapinduzi ya kijeshi, sheria ya kijeshi
  • Hali ya kuzingirwa, tukio lolote ambalo limetokana na kutangazwa kwa sheria ya kijeshi au hali ya kuzingirwa
  • Nyuklia, hatari za kibaiolojia na kikemikali na hasara
  • Kujiua au majeraha ya kujidhuru
  • Matumizi ya vilevi au madawa ya kulevya kinyume na sheria

2- BIMA MKONONI YA MAISHA NA ULEMAVU – Milvik Bima Ya Maisha

Fidia hadi TSh 16,000,000

Bima Mkononi ya Maisha na ulemavu inakupa fidia endapo;

Bima ya Maisha:  ikitokea tukio la kifo cha mnufaika wa Bima kutokana na sababu yoyote

Bima ya Ulemavu: ikitokea mnufaika wa Bima amepata ulemavu wa kudumu, ulemavu wa kawaida au ulemavu mdogo ambapo kiasi kinacholipwa kinatofautiana kulingana na aina ya ulemavu ambao ameupata mteja

PriceTotal minsAll networkOn networkSMSValidity
TZS 5,00030030005030 days
TZS 10,0001200120005030 days
TZS 20,0003000300005030 days
TZS 30,000330033007005030 days

Individual Life Cover: An individual
Joint Life Cover: An individual and an insured relative
No claim bonus is applicable after every 12 months of premium payment

  • Bima ya Maisha – Shilingi 2M, 3M au 4M na ni kulingana na aina na ngazi ya Bima alichochagua mteja
  • Bima ya ulemavu (Kulingana na aina na ngazi ya Bima alichochagua mteja)
  • Ulemavu wa kudumu wa jumla – 100% jumla ya kiwango kinacholipwa kutokana na ulemavu (Shilingi 2M, 3M au 4M)
  • Ulemavu wa kudumu wa kawaida – 50% kiwango kinacholipwa kutokana na ulemavu (Shilingi 1M, 1.5M au 2M)
  • Ulemavu Mdogo wa Kudumu – 10% kiwango kinacholipwa kutokana na ulemavu (Shilingi 200K, 300K au 400K)

Vigezo na Masharti:

Commencement date & Waiting Periods

Umri

Madai

  • Muda wa kufanya madai kwa mteja ni miezi 6 kutoka tarehe ya kifo au tarehe aliyoonekana kuwa na ulemavu wa kudumu anapaswa kutoa taarifa ya kufanya madai. Baada ya hapo mteja atakuwa na muda wa miezi mitatu kuhakikisha amewasilisha nyaraka zote kamilifu zinazohitajika. Endapo mteja atashindwa kuwasilisha nyaraka zote zinazohitajika madai yatafungwa. Malipo yatafanyika baada ya kupokea nyaraka zifuatazo:
  • Vitambulisho vinavyokubalika wakati wa kufanya madai ni: kitambulisho cha mpiga kura, Kitambulisho cha taifa, leseni ya udereva, hati ya kusafiria
  • Nyaraka za uthibitisho wa kifo: Cheti cha kifo na kibali cha mazishi kitahitajika kama nyaraka ya ziada
  • Nyaraka ya uthibitsho wa ulemavu/Ripoti ya daktari

Yasiyohusika

  • Fidia haitolipwa endapo hali iliyopelekea madai hayo imesababishwa na matatizo ya kukusudia au tukio lolote kati ya matukio haya yaliyoorodheshwa:
  • Vita, Uvamizi, Vitendo vya maadui wa kigeni, uhamasa, operation za vita (zilizotangazwa au zisizotangazwa), Vita vya wenyewe kwa wenyewe, Uasi, Migomo, ghasia, ghasia za wenyewe kwa wenyewe, Kuongezeka kwa jeshi, Njama, Mapinduzi ya kijeshi, sheria ya kijeshi
  • Hali ya kuzingirwa, tukio lolote ambalo limetokana na kutangazwa kwa sheria ya kijeshi au hali ya kuzingirwa
  • Nyuklia, hatari za kibaiolojia na kikemikali na hasara
  • Kujiua au majeraha ya kujidhuru
  • Matumizi ya vilevi au madawa ya kulevya kinyume na sheri

Interested in this product? Fill in the form below and we’ll reach out you right away.s

Get in touch with us

Mobile: 0714-100-100
Customer Service: 100

Tigo Headquarters
Honora Tanzania LTD,
Sam Nujoma Road,
P.O. Box 2929, Dar es Salaam, Tanzania .

Get in touch with us​

Find a Tigo Shop

Type in your region to find a Shop

Form Submitted Successfully

Sorry !

We are currently not selling online. You can
visit our stores