Bili na Huduma za Malipo ya Serikali
Fanya kidigitali malipo yako yote kwa kutumia huduma yetu ya malipo ya bili za kampuni ya Tigo Pesa. Wateja wako wanaweza kulipia huduma yako kwa kutumia Tigo Pesa App au Kwa kutumia menyu ya Tigo Pesa Ussd *150*01#.