Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.
Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.
Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.
Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.
Tigo imedhamiria kutoa huduma za kiwango cha kimataifa kupitia bidhaa na huduma za kidijitali ambazo hukidhi mahitaji binafsi za wateja maalumu.
Kwa kuzingatia hilo Tigo imezindua huduma ya Tigo Kinara, programu pekee inayompa mteja faida mbalimbali za kimaisha.
Vifurushi vya Tigo Kinara ni vifurushi vya muda wa maongezi, Intaneti and SMS vinavyompatia mteja huduma bora mbalimbali za kidijitali kwa lengo kuu la kutoa huduma zinazoendana na mahitaji yake binafsi.
Vifurushi vya Tigo Kinara vina faida mbalimbali kama huduma ya okoa salio, safari za bure na Uber, kurudishiwa pesa za miamala, punguzo la bei za manunuzi kwenye maduka na kwa watoa huduma mbalimbali
BEI | INTANETI | MITANDAO YOTE | TIGO – TIGO | SMS |
---|---|---|---|---|
30,000 | GB 14 | DK 1200 | DK 300 | 500 |
50,000 | GB 23 | DK 2500 | DK 400 | 500 |
– Wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya Kinara
– Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu
Hapana, kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.
Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi. 1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.
Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.
Kila kifurushi cha Kinara kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia
Ndio, Mteja anaweza kubeba salio la kirufushi alichonunua ikiwa atanunua kifurushi kile kile kabla ya muda wa kifurushi alichonunua kuisha.
Muda wa kifurushi umewekwa wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia kifurushi
Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua Kinara → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au
Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au
Kupitia App ya Tigo Pesa, au Tigopesa Menyu ya *150*01# au
Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo
– Wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya Kinara
– Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu
Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.
Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi.
Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.
Mteja anaweza kubeba salio la kirufushi alichonunua ikiwa atanunua kifurushi kile kile kabla ya muda wa kifurushi alichonunua kuisha.
Muda wa kifurushi umewekwa wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia kifurushi
Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua Kinara → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au
Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au
Kupitia App ya Tigo Pesa, au Tigopesa Menyu ya *150*01# au
Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo
Vifurushi vya Kinara hutumika kwa matumizi ya kupiga simu ndani ya mtandao na mitandao mingine, kuperuzi kurasa za intaneti au kutuma sms ndani nchini Tanzania pekee na si kwa matumizi ya Roaming, kupiga Simu au SMS za Kimataifa
Kuwas wakwanza kusikia kuhusu bidhaa na huduma zetu
Legal Notice
Copyright © 2023 Axian
Privacy Policy