Customer care

Lorem ipsum dolor sit amet consectetur. Lorem ipsum dolor sit
amet consectetur.

Chat

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Call

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Email

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

FAQs

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Follow us

Join our social community

Vifurushi vya Intanet

Tigo ina mtandao wa 4G kubwa na yenye kasi kuliko zote, Tanzania. Ikiwa na kasi mara tano zaidi ya 3G kwa bei ile ile, kwa nini usihamie 4G? Achana na usumbufu wa video kukatikakatika ukiwa unaziangalia kwa intaneti, au mafaili kushindwa kupakuliwa na simu za skype kukatika. Maisha ni bora ziadi na 4G.

Vifurushi Vya Siku

BEIVIWANGOMUDA WA KUDUMU
 500150 MBMASAA 24
 1000650 MBMASAA 24
 20001.3 GBMASAA 24
 2,5001.6 GBMASAA 48

Vifurushi Vya Wiki

BEI VIWANGO MUDA WA KUDUMU
 2,000 1 GB SIKU 7
 3,000 1.7 GB SIKU 7
 5,000 3 GB SIKU 7
 10,000 6 GB SIKU 7
 15,000 9.5 GB SIKU 7

Vifurushi Vya Mwezi

BEI VIWANGO MUDA WA KUDUMU
10,000 5 GB 30 Days
 20,000 12 GB 30 Days
 35,000 22 GB 30 Days
 50,000 32 GB 30 Days

Bei zote zinajumusha kodi.

Maswali ya mara kwa mara

– Wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya Intaneti

– Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu

Ndio, Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.
Ndio, Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Intaneti wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako
Hapana, kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi. 

  1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.

Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.

Kila kifurushi cha Intaneti kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia
Ndio, Mteja anaweza kubeba salio la kirufushi alichonunua ikiwa atanunua kifurushi kile kile kabla ya muda wa kifurushi alichonunua kuisha. Muda wa kifurushi umewekwa wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia kifurushi
Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi
Hapana, Salio la Vifurushi vya Intaneti hutumika kwa matumizi wa ndani ya mtandao wa Tigo pekee na si kwa matumizi ya Roaming.
Ndio, Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokua amejiunga kwenye kifurushi

Terms and Conditions

– Wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya Intaneti

– Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu

Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.
Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Intaneti wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako
Kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi.

  1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.

Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.

Kila kifurushi cha Intaneti kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia
Mteja anaweza kubeba salio la kirufushi alichonunua ikiwa atanunua kifurushi kile kile kabla ya muda wa kifurushi alichonunua kuisha. Muda wa kifurushi umewekwa wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia kifurushi

Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua Intaneti → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au

Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au

Kupitia App ya Tigo Pesa, au Tigopesa Menyu ya *150*01# au

Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo

Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi
Salio la Vifurushi vya Intaneti hutumika kwa matumizi wa ndani ya mtandao wa Tigo pekee na si kwa matumizi ya Roaming.
Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokua amejiunga na kifurushi au vifurushi vya Intaneti.

Find a Tigo Shop

Type in your region to find a Shop

Sorry !

We are currently not selling online. You can
visit our stores