Hamisha Salio la Intaneti
Huduma ya kuhamisha salio la data/Intaneti ni huduma ambayo sasa hutolewa na Tigo kwa wateja wake wa huduma ya malipo ya kabla pekee. Huduma hii humuwezesha mteja kuhamisha salio lake la kifurushi cha intaneti kwa mteja mwingine wa Tigo wa malipo ya kabla.