Tigo Kandanda
KANDANDA ni mchezo wa maswali na majibu wenye nia ya kuzawadia wateja wa Tigo na Zawadi kabambe. Kampeni hii ina lengo la kuongeza ufahamu wa ujumla kwa yaliyomo kwenye KANDANDA
Mteja atakaribishwa kwenye huduma kupitia SMS na kwa kila swali atakalo jibu atazawadiwa POINTI. Kadiri unavyojibu maswali unajiongezea POINTI ZA USHINDI WA ZAWADI.