Customer care

Lorem ipsum dolor sit amet consectetur. Lorem ipsum dolor sit
amet consectetur.

Chat

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Call

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Email

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

FAQs

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Follow us

Join our social community

SOKA TRIVIA

SOKA ni mchezo wa maswali na majibu wenye nia ya kuzawadia wateja wa Tigo na Zawadi kabambe. Kampeni hii ina lengo la kuongeza ufahamu wa ujumla kwa yaliyomo kwenye SOKA

Mteja atakaribishwa kwenye huduma  kupitia SMS, kwa njia ya kiditali au USSD, na kwa kila swali atakalo jibu atazawadiwa POINTI. Kadiri ynavyojibu maswali unajiongezea POINTI ZA USHINDI WA ZAWADI.

Jinsi ya Kujiunga:

Kujiunga kwenye huduma itakua kupitia chaneli zifuatazo

SMS itatumwa kwa mteja kumkaribisha kwenye huduma, kila sms atakayo jibu mteja itachajiwa Tshs 99 na kwa kila jibu sahihi ajipatia POINTI 100 na jibu lisilo sahihi atajipatia pointi 25

Zawadi Katika Kampeni ya “ SOKA TRIVIA:

Vigezo na Masharti:

 

    • Kuanzia tarehe 1 Julai 2019 na kuendelea Makato ya ushuru kwa michezo ya Bahati Nasibu kwenye Zawadi zote za fedha ni 15%.
    • Washiriki lazima wawe na umri wa miaka kumi na nane (18) na zaidi kushiriki.
    • Watoa huduma na waajiriwa wa Tigo Pamoja na familia zao hawana ruhusa kushiriki kwenye kampeni hii.
    • Kujiunga na huduma ni BURE. Ukifanikiwa kujiunga, mteja ataanza kupokea maswali mbali mbali. Swali la kwanza baada ya kujiunga kikamiligu litachajiwa na swali linalofuata halitachajiwa mpaka mteja atakapo jibu swali.
    • Baada ya kujiunga na huduma, mteja atakuwa ametoa idhini na kuanza kupokea ujumbe mfupi wa kushawishi wa huduma.
    • Tigo inaweza kutumia baadhi ya taarifa kama picha, sauti au video za MSHINDI aliyeshinda zawadi ya kampeni hii kwa kipindi chote cha kampeni kwa ajili ya uhamasishaji wa kampeni.
    • Jina la Mshindi linaweza kuchapishwa kwenye magazeti au vyombo vingine vya habari.
    • Namba ya mteja lazima iwe imesajili kwa alama za vidole ili kufuzu kwenye hii huduma.
    • Kampeni hii iko wazi kwa wakazi wa Tanzania tu.

Find a Tigo Shop

Type in your region to find a Shop

Sorry !

We are currently not selling online. You can
visit our stores