Customer care

Lorem ipsum dolor sit amet consectetur. Lorem ipsum dolor sit
amet consectetur.

Chat

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Call

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Email

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

FAQs

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Follow us

Join our social community

Graduation Trivia:

Graduate ni mchezo wa maswali na majibu ya uelewa n amaarifa mbalimbali kwa ajili ya wateja wa Tigo ambapo kuna zawadi mbalimbali watakazoshinda. Washiriki wa kampeni hii wanabidi wawe na ufahamu wa maarifa mbali mbali

Jinsi kujiunga na kampeni:

Jinsi washindi watakavyo patikana:

Zawadi:

Vigezo na Masharti:

  1. Tarehe ya kumalizika kwa kampeni inaweza kubadilika kwa kutegemea muenendo wa utoaji wa Zawadi.
  2. Kila mteja ambaye amejiunga kwenye kampeni hii atajikusanyia pointi kwa kujibu maswali na mwisho wa muda wake mshiriki mwenye pointi nyingi zaidi ataibuka mshindi. Kwa kila swali mteja atatozwa Tsh.100/SMS
  3. Kujiunga na huduma ni BURE. Ukifanikiwa kujiunga, mteja ataanza kupokea maswali ya maarifa mbali mbali. Swali la kwanza baada ya kujiunga kikamiligu litachajiwa shilingi 100 na swali linalofuata halitachajiwa mpaka mteja atakapo jibu swali.
  4. Neno lililotumwa kimakosa kwenda 15572 itachukuliwa kama jibu lisilo sahihi kwa swali lililojibiwa. Hivyo utapokea ujumbe kujulishwa na kupewa swali lingine kama mteja atakua na salio.
  5. Kila Jibu sahihi la Tigo Graduate Star-Brain TRIVIA lina pointi 200 na jibu lisilo sahihi lina pointi 50.
  6. Kampeni itajumuisha maswali ya uelewa na maarifa mbali mbali kuwapa washiriki ushiriki na kubusti nafazi zao za ushindi wakiwa pia wanajifunza zaidi.
  7. Kadiri mteja anavyojibu maswali zaidi ndivyo anavyozidi kujiongezea nafasi ya USHINDI kwa kujikusanyia pointi nyingi Zaidi.
  8. Kujiondoa kwenye huduma mteja anaweza kutuma neno ONDOA GRAD kwenda 15572
  9. HAKUNA gharama za kujitoa katika huduma.
  10. Mshindi yeyote ambaye hatopokea simu/ Simu yake Haitopatikana kipindi cha kujulishwa Mshindi mara 3 basi nafasi hiyo ITAONDOLEWA kwake na kupewa Mshindi anayefuata mwenye point nyingi kupigiwa na akipatikana basi huyo ndio MSHINDI!
  11. Mshindi yeyote ambaye alipigiwa simu na hakupatikana/ hakujibu simu mara 3 hatokuwa na ruhusa ya kudai Zawadi hiyo.
  12. Zawadi zote za kampeni ya “Tigo Graduate Star-Brain TRIVIA” zitakabidhiwa katika ofisi za Tigo.
  13. Kila mteja ana nafasi ya kushinda zawadi ya KIPENGELE FULANI MARA MOJA (1) tu na hairuhusiwi kushinda kipengele hicho tena. Mfano: Mteja akishinda zawadi ya WIKI ya kwanza, hafai kushinda zawadi ya wiki kwa wiki zinazofuata.
  14. Tigo itabakia na zawadi ya Mshindi kwa muda wa miezi mitatu (3) endapo Mshindi huyo hajajitokeza kuichukua zawadi yake. Baada ya muda huo Mshindi hatokuwa na haki ya kuichukua zawadi.
  15. Tigo inaweza kutumia baadhi ya taarifa kama picha, sauti au video za MSHINDI aliyeshinda zawadi ya kampeni hii kwa kipindi chote cha kampeni kwa ajili ya uhamasishaji wa kampeni.
  16. Jina la Mshindi linaweza kuchapishwa kwenye magazeti au vyombo vingine vya habari.
  17. Waajiriwa wa TelcoVAS na Tigo pamoja na familia zao hawana ruhusa ya kushiriki kwenye kampeni hii.
  18. Kampeni hii ni kwa ajili ya wateja wote wa Tigo na waishio Tanzania.
  19. Majina ya washindi yanaweza kutangazwa au kuchapishwa katika vyombo vya habari vilivyochaguliwa na waendesha kampeni.
  20. Kuanzia tarehe 1 Julai 2019 na kuendelea Makato ya ushuru kwa michezo ya Bahati Nasibu kwenye Zawadi zote za fedha ni 15%
  21. Tigo inaweza wa kubadilisha vigezo na masharti muda wowote kwa kupeleka mapendekezo yao katika Taasisi ya Kuratibu Mashindano ya Bahati Nasibu (Gaming Board of Tanzania).

Find a Tigo Shop

Type in your region to find a Shop

Sorry !

We are currently not selling online. You can
visit our stores