Customer care

Lorem ipsum dolor sit amet consectetur. Lorem ipsum dolor sit
amet consectetur.

Chat

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Call

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Email

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

FAQs

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Follow us

Join our social community

Chemsha Bongo Trivia

Vigezo na Masharti:

Jinsi washindi watakavyo patikana:

ZAWADI:

VIGEZO NA MASHARTI:

  1. Mteja anatakiwa ajiunge kwa kutuma neno MUZIKI kwenda 15571
  2. Mteja anaweza pia kucheza kwa kutembelea  http://tigochemshabongo.co.tz
  3. Kila jibu litatozwa Tsh 100
  4. Neno lililotumwa kimakosa kwenda 15571 itachukuliwa kama jibu lisilo sahihi kwa swali lililojibiwa. Hivyo utapokea ujumbe kujulishwa na kupewa swali lingine kama mteja atakua na salio.
  5. Kila Jibu sahihi la Chemsha bongo Trivia lina pointi 200 na jibu lisilo sahihi lina pointi50.
  6. Kampeni itajumuisha maswali yahusuyo muziki na burudani.
  7. Kadiri mteja anavyojibu maswali zaidi ndivyo anavyozidi kujiongezea nafasi ya USHINDI kwa kujikusanyia pointi nyingi Zaidi.
  8. Kujiondoa kwenye huduma mteja anaweza kutuma neno ONDOA MUZIKI kwenda
  9. HAKUNA gharama za kujitoa katika huduma.
  10. Mshindi yeyote ambaye alipigiwa simu na hakupatikana au hakujibu simu mara 3 hatokuwa na ruhusa ya kudai zawadi hiyoatapigiwa simu na akipatikana atapewa ushindi.Kwa hiyo mteja mwenye nafasi ya pili.
  11. Mshindi yeyote ambaye hatopokea simu au Simu yake Haitopatikana kipindi cha kutangaza Mshindi mara 3 basi nafasi hiyo ITAONDOLEWA kwake na kupewa Mshindi anayefuata mwenye pointi nyingi kupigiwa na akipatikana basi huyo ndio MSHINDI.
  12. Zawadi zote za kampeni ya “Chemsha bongo Trivia” zitakabidhiwa katika ofisi za Tigo.
  13. Kila mteja ana nafasi ya kushinda zawadi ya KIPENGELE FULANI MARA MOJA (1) tu na hairuhusiwi kushinda kipengele hicho tena. Mfano: Mteja akishinda zawadi ya WIKI ya kwanza, hafai kushinda zawadi ya wiki kwa wiki zinazofuata.
  14. Tigo itabakia na zawadi ya Mshindi kwa muda wa miezi mitatu (3) endapo Mshindi huyo hajajitokeza kuichukua zawadi yake. Baada ya muda huo Mshindi hatokuwa na haki ya kuichukua zawadi.
  15. Tigo inaweza kutumia baadhi ya taarifa kama picha, sauti au video za MSHINDI aliyeshinda zawadi ya kampeni hii kwa kipindi chote cha kampeni kwa ajili ya uhamasishaji wa kampeni.
  16. Jina la Mshindi linaweza kuchapishwa kwenye magazeti au vyombo vingine vya habari.
  17. Waajiriwa wa TelcoVAS na Tigo pamoja na familia zao hawana ruhusa ya kushiriki kwenye kampeni hii.
  18. Kampeni hii ni kwa ajili ya wateja wote wa Tigo na waishio Tanzania.
  19. Majina ya washindi yanaweza kutangazwa au kuchapishwa katika vyombo vya habari vilivyochaguliwa na waendesha kampeni.
  20. Washindi wote wanapaswa kutoa vitambulisho halali. Vitambulisho vifuatavyo pia kujumuishwa (Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Kura na Leseni ya Udereva
  21. Zawadi zote za Pesa Taslim zitakatwa kodi ya TRA asilimia 15 (15%).
  22. Tigo inaweza wa kubadilisha vigezo na masharti muda wowote kwa kupeleka mapendekezo yao katika Taasisi ya Kuratibu Mashindano ya Bahati Nasibu (Gaming Board of Tanzania).
  23. Mteja anatakiwa kusoma na kuelewa vigezo na masharti ya promosheni hii na kama asipoelewa apige namba 100 kuongea na mwakilishi kutoka Tigo au atembelee duka la Tigo lolote lililopo karibu na yeye.
    Kwa kushiriki katika promosheni hii, mteja anathibitisha kuwa amesoma, ameelewa na amekubaliana vigezo na masharti ya hii promosheni.

Find a Tigo Shop

Type in your region to find a Shop

Sorry !

We are currently not selling online. You can
visit our stores