Customer care

Lorem ipsum dolor sit amet consectetur. Lorem ipsum dolor sit
amet consectetur.

Chat

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Call

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Email

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

FAQs

Lorem ipsum dolor sit amet
consectetur. Non molestie.

Follow us

Join our social community

Usajili wa Kuzaliwa

Tigo Tanzania kwa kushirikiana na Wakala wa Ufilisi na Udhamini (RITA) na Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef) kwa pamoja wanaunga mkono mkakati mpya wa taifa wa usajili wa uzazi ambao unaharakisha usajili mkubwa wa watoto walio na umri chini ya miaka mitano ili kupata vyeti vya kuzaliwa. Mfumo huu mpya wa usajili wa uzazi unatumia mfumo wa ubunifu ulioanzishwa na Tigo.

Simu ya mkononi inarahisisha mchakato wa usajili wa uzazi kwa kuingiza taarifa za usajili katika simu ambazo taarifa (data) zinapekewa katika kanzidata kuu ya RITA kwa wakati sahihi. Matumizi hayo yameundwa ili kufanya kazi katika aina zote za simu na mifumo ya uendeshaji.

Hivi karibuni Malengo Endelevu ya Maendeleo yaliweka wazi umuhimu wa kusajili kila mtoto anayezaliwa. Kwa mujibu wa Utafiti wa Afya ya Watu Tanzania (DHS) uliofanyika mwaka 2010 ni asilimia 16 tu ya watoto walio na umri chini ya kika mitano walikuwa wamesajiliwa na mamlaka za serikali ambapo kati yao ni asilimia sita tu walikuwa wamepata vyeti vya kuzaliwa. Hivyo mkakati huu unalenga kupambana na changamoto hii ya kuharakisha usajili wa uzazi wa watoto na kuanzisha mfumo ulio na ufanisi wa usajili wa uzazi na uraia.

Kwa hali hiyo mfumo mpya ni mafanikio makubwa. Katika mikoa ambayo usajili ulifanyika yaani Mbeya, Mwanza, Iringa na Njombe zaidi ya watoto 660,000 walio na umri chini ya miaka mitano walisajiliwa . katika kipindi cha miaka minne ijayo mfumo huo utapanuliwa na kufikia mikoa kumi ya ziada ili kuongeza mafanikio. Hatua hiyo itawezesha kufikisha nusu ya mikoa 31 ya Tanzania kukiwa na uwezo wa kuwafikia takribani watoto milioni nne walio na umri wa chini ya miaka mitano.

Ubunifu huu umekuja kipindi ambacho suluhisho la simu za mkononi likiwa na zana muhimu katika maendeleo hususani katika Tanzania kwa kufanya kupenyeza kwa matumizi ya simu za mkononi kufikia asilimia 71.

Find a Tigo Shop

Type in your region to find a Shop

Sorry !

We are currently not selling online. You can
visit our stores