Jinsi ya Kutumia Tigo nje ya Nchi
- Pale ufikapo nchi ya nje, washa simu yako
- Simu nyingi huwa zinashika mtandao wenye nguvu zaidi moja kwa moja
- Kama simu yako haitashika mtandao, au unataka kubadili kwenda mtandao mwingine uliopo, badilisha mazingira ya mtandao kwenye simu yako kuchagua mtandao uutakao.