Tigo Hadithi:
Wote tunapenda hadithi za kusisimua. Kuanzia hadithi za mapenzi, za kutisha na za kuelimisha, Tigo Hadithi ina stori kwa kila mtu. Unaweza kujiunga na Hadithi na ukapata tukio jipya kila siku au waweza nunua hadithi nzima nakusikiliza matukio tofauti kwa wakati wako.